

Lugha Nyingine
Wakulima wawa na pilika nyingi za shughuli za kilimo kote China (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 07, 2024
![]() |
Picha iliyopigwa Machi 5, 2024 ikionyesha wakulima wakifanya kazi shambani katika kijiji cha Tarafa ya Difang ya Wilaya ya Pingyi, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China. (Picha na Wu Jiquan/Xinhua) |
Wakulima katika mikoa mingi ya China wako katika pilika nyingi mashambani kwa ajili ya ulimaji, upandaji wa mbegu na shughuli nyingine za kilimo cha majira ya mchipuko.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Deng Jie)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma