Wakulima wawa na pilika nyingi za shughuli za kilimo kote China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 07, 2024
Wakulima wawa na pilika nyingi za shughuli za kilimo kote China
Picha iliyopigwa Machi 6, 2024 ikionyesha wakulima wakifanya kazi shambani katika Kijiji cha Renhe cha Tarafa ya Guantang ya Mji wa Guang'an, Mkoa wa Sichuan, Kusini-Magharibi mwa China. (Picha na Zhou Xiujian/Xinhua)

Wakulima katika mikoa mingi ya China wako katika pilika nyingi mashambani kwa ajili ya ulimaji, upandaji wa mbegu na shughuli nyingine za kilimo cha majira ya mchipuko. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Deng Jie)

Picha