

Lugha Nyingine
Shughuli mbalimbali zafanyika kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China kote nchini China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 31, 2025
![]() |
Wasanii wa kijadi wakitumbuiza onyesho la vinyago vya kubadili sura kwenye eneo la hekalu mjini Hengyang, Mkoa wa Hunan, katikati mwa China, Januari 29, 2025. (Cao Zhengping/Xinhua) |
Shughuli mbalimbali zimefanyika kote nchini China kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China, kwa kalenda ya kilimo ya China. Sikukuu hiyo ambayo likizo yake bado inaendelea, kwa mwaka huu iliangukia Januari 29, siku ya Jumanne wiki hii.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma