

Lugha Nyingine
Shughuli mbalimbali zafanyika kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China kote nchini China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 31, 2025
![]() |
Wasanii wa kijadi wakitumbuiza onyesho la ngoma ya dragoni katika Wilaya ya Tancheng, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China, Januari 29, 2025. (Zhang Chunlei/Xinhua) |
Shughuli mbalimbali zimefanyika kote nchini China kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China, kwa kalenda ya kilimo ya China. Sikukuu hiyo ambayo likizo yake bado inaendelea, kwa mwaka huu iliangukia Januari 29, siku ya Jumanne wiki hii.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Shughuli mbalimbali za kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China zafanyika katika Nchi Nyingi
Muonekano wa Kisiwa cha Weizhou katika Mkoa wa Guangxi, Kusini mwa China
Hafla ya Kukaribisha Panda wa China yafanyika katika Bustani ya Wanyama ya Adelaide, Australia
Shughuli mbalimbali zafanyika sehemu mbalimbali China kukaribisha Mwaka Mpya ujao wa Jadi wa China
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma