Shughuli mbalimbali zafanyika kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China kote nchini China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 31, 2025
Shughuli mbalimbali zafanyika kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China kote nchini China
Wasanii wa kijadi wakitumbuiza onyesho la fashifashi za chuma kilichoyeyushwa katika eneo la hekalu mjini Luoyang, Mkoa Henan, katikati mwa China, Januari 29, 2025. (Huang Zhengwei/Xinhua)

Shughuli mbalimbali zimefanyika kote nchini China kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China, kwa kalenda ya kilimo ya China. Sikukuu hiyo ambayo likizo yake bado inaendelea, kwa mwaka huu iliangukia Januari 29, siku ya Jumanne wiki hii.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha