Shughuli mbalimbali zafanyika kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China kote nchini China (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 31, 2025
Shughuli mbalimbali zafanyika kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China kote nchini China
Watalii wakipiga picha za mapambo ya taa za kijadi mjini Datong, Mkoa wa Shanxi, Januari 29, 2025. (Liu Jiaqi/Xinhua)

Shughuli mbalimbali zimefanyika kote nchini China kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China, kwa kalenda ya kilimo ya China. Sikukuu hiyo ambayo likizo yake bado inaendelea, kwa mwaka huu iliangukia Januari 29, siku ya Jumanne wiki hii.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha