

Lugha Nyingine
Shughuli mbalimbali zafanyika kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China kote nchini China (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 31, 2025
![]() |
Picha ya droni ikionyesha watalii wakitembelea mtaa wa utalii katika Wilaya ya Leling, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China, Januari 29, 2025. (Jia Peng/Xinhua) |
Shughuli mbalimbali zimefanyika kote nchini China kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China, kwa kalenda ya kilimo ya China. Sikukuu hiyo ambayo likizo yake bado inaendelea, kwa mwaka huu iliangukia Januari 29, siku ya Jumanne wiki hii.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma