

Lugha Nyingine
China yashuhudia wimbi kubwa la abiria wakati likizo ya Mwaka Mpya wa Jadi ikifikia mwisho (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 05, 2025
![]() |
Picha ya droni iliyopigwa Februari 4, 2025 ikionyesha magari yakiingia kwenye kivuko katika Bandari ya Yantai, Mkoa wa Shandong, mashariki mwa China. (Picha na Tang Ke/Xinhua) |
BEIJING - Huku likizo ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China ikifikia mwisho, barabara kuu, reli na viwanja vya ndege vya China vimeshuhudia wimbi kubwa la abiria wanaosafiri kurejea kutoka kwenye mijumuiko ya kifamilia na sherehe za sikukuu hiyo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma