China yashuhudia wimbi kubwa la abiria wakati likizo ya Mwaka Mpya wa Jadi ikifikia mwisho (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 05, 2025
China yashuhudia wimbi kubwa la abiria wakati likizo ya Mwaka Mpya wa Jadi ikifikia mwisho
Picha ya droni iliyopigwa Februari 4, 2025 ikionyesha magari yakiwa kwenye lango la ushuru la barabara kuu ya Hefei-Nanjing katika Wilaya ya Quanjiao, Mji wa Chuzhou wa Mkoa wa Anhui, mashariki mwa China. (Picha na Shen Guo/Xinhua)

BEIJING - Huku likizo ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China ikifikia mwisho, barabara kuu, reli na viwanja vya ndege vya China vimeshuhudia wimbi kubwa la abiria wanaosafiri kurejea kutoka kwenye mijumuiko ya kifamilia na sherehe za sikukuu hiyo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha