

Lugha Nyingine
China yashuhudia wimbi kubwa la abiria wakati likizo ya Mwaka Mpya wa Jadi ikifikia mwisho
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 05, 2025
![]() |
Abiria wakionekana kwenye ukumbi wa kusubiri kupanda treni wa Stesheni ya Reli ya Shanghai Hongqiao mjini Shanghai, Mashariki mwa China, Februari 4, 2025. (Picha na Chen Haoming/Xinhua) |
BEIJING - Huku likizo ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China ikifikia mwisho, barabara kuu, reli na viwanja vya ndege vya China vimeshuhudia wimbi kubwa la abiria wanaosafiri kurejea kutoka kwenye mijumuiko ya kifamilia na sherehe za sikukuu hiyo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma