China yashuhudia wimbi kubwa la abiria wakati likizo ya Mwaka Mpya wa Jadi ikifikia mwisho (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 05, 2025
China yashuhudia wimbi kubwa la abiria wakati likizo ya Mwaka Mpya wa Jadi ikifikia mwisho
Afisa wa polisi akitoa usaidizi katika Stesheni ya Reli ya Fuyang Magharibi katika Mji wa Fuyang, Mkoa wa Anhui, mashariki mwa China, Februari 4, 2025. (Picha na Lu Qijian/Xinhua)

BEIJING - Huku likizo ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China ikifikia mwisho, barabara kuu, reli na viwanja vya ndege vya China vimeshuhudia wimbi kubwa la abiria wanaosafiri kurejea kutoka kwenye mijumuiko ya kifamilia na sherehe za sikukuu hiyo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha