China yashuhudia wimbi kubwa la abiria wakati likizo ya Mwaka Mpya wa Jadi ikifikia mwisho (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 05, 2025
China yashuhudia wimbi kubwa la abiria wakati likizo ya Mwaka Mpya wa Jadi ikifikia mwisho
Abiria wakisubiri treni katika Stesheni ya Reli ya Hangzhou Mashariki mjini Hangzhou, Mkoa wa Zhejiang , mashariki mwa China, Februari 4, 2025. (Xinhua/Huang Zongzhi)

BEIJING - Huku likizo ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China ikifikia mwisho, barabara kuu, reli na viwanja vya ndege vya China vimeshuhudia wimbi kubwa la abiria wanaosafiri kurejea kutoka kwenye mijumuiko ya kifamilia na sherehe za sikukuu hiyo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha