Maeneo ya watalii nchini China yavutia watembeleaji kwa shughuli za barafu na theluji (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 05, 2025
Maeneo ya watalii nchini China yavutia watembeleaji kwa shughuli za barafu na theluji
Picha ya droni iliyopigwa Januari 31, 2025 ikionyesha watu wakitembelea Bustani ya Theluji na Barafu ya Harbin mjini Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China. (Xinhua/Zhang Tao)

Wakati wa likizo ya siku nane ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China ambayo imehitimisha jana Jumanne, Februari 4, maeneo mengi ya watalii nchini China yamevutia watembeleaji wengi kwa shughuli za barafu na theluji.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha