Maeneo ya watalii nchini China yavutia watembeleaji kwa shughuli za barafu na theluji (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 05, 2025
Maeneo ya watalii nchini China yavutia watembeleaji kwa shughuli za barafu na theluji
Watu wakicheza mchezo wa kuteleza kwenye theluji kwenye Eneo la Mapumziko la Ziwa Songhua katika Mji wa Jilin, Mkoa wa Jilin kaskazini-mashariki mwa China, Januari 29, 2025. (Xinhua/Yan Linyun)

Wakati wa likizo ya siku nane ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China ambayo imehitimisha jana Jumanne, Februari 4, maeneo mengi ya watalii nchini China yamevutia watembeleaji wengi kwa shughuli za barafu na theluji.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha