Maeneo ya watalii nchini China yavutia watembeleaji kwa shughuli za barafu na theluji (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 05, 2025
Maeneo ya watalii nchini China yavutia watembeleaji kwa shughuli za barafu na theluji
Mtoto akiburudika katika eneo la mapumziko ya michezo ya theluji mjini Tianjin, kaskazini mwa China, Februari 4, 2025. (Xinhua/Li Ran)

Wakati wa likizo ya siku nane ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China ambayo imehitimisha jana Jumanne, Februari 4, maeneo mengi ya watalii nchini China yamevutia watembeleaji wengi kwa shughuli za barafu na theluji.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha