Maeneo ya watalii nchini China yavutia watembeleaji kwa shughuli za barafu na theluji (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 05, 2025
Maeneo ya watalii nchini China yavutia watembeleaji kwa shughuli za barafu na theluji
Mtalii akicheza mchezo wa kuteleza kwenye theluji kwenye Eneo la Kimataifa la Mapumziko ya Mchezo wa Kuteleza kwenye Theluji la Jiangjunshan mjini Altay, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang, kaskazini-magharibi mwa China, Januari 28, 2025. (Xinhua/Hu Huhu)

Wakati wa likizo ya siku nane ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China ambayo imehitimisha jana Jumanne, Februari 4, maeneo mengi ya watalii nchini China yamevutia watembeleaji wengi kwa shughuli za barafu na theluji.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha