Maeneo ya watalii nchini China yavutia watembeleaji kwa shughuli za barafu na theluji (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 05, 2025
Maeneo ya watalii nchini China yavutia watembeleaji kwa shughuli za barafu na theluji
Picha hii iliyopigwa tarehe 3 Februari 2025 ikionyesha tamasha la barafu na theluji kwenye Bustani ya Longtan katika Wilaya ya Dongcheng mjini Beijing, mji mkuu wa China. (Xinhua/Wu Qinghao)

Wakati wa likizo ya siku nane ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China ambayo imehitimisha jana Jumanne, Februari 4, maeneo mengi ya watalii nchini China yamevutia watembeleaji wengi kwa shughuli za barafu na theluji.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha