

Lugha Nyingine
Ujenzi wa handaki la reli lenye urefu wa mita 602 wakamilika Suifenhe, Kaskazini Mashariki mwa China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 29, 2025
Ujenzi wa handaki la reli lenye urefu wa mita 602 kwenye reli inayounganisha mji wa Suifenhe na mpaka kati ya China na Russia katika Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China ulianza mwezi Mei mwaka jana na umekamilika rasmi jana Jumatano. Handaki hilo jipya litaongeza kwa kiasi kikubwa uwezo wa reli hiyo, ambayo iko katika ukarabati, na kasi iliyosanifiwa ilifikia kilomita 120 kwa saa.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma