Mapango ya Qinglong: Majengo ya kale kwenye miteremko mikali ya miamba katika Mkoa wa Guizhou, China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 29, 2025
Mapango ya Qinglong: Majengo ya kale kwenye miteremko mikali ya miamba katika Mkoa wa Guizhou, China
Picha hii iliyopigwa kwa droni tarehe 20 Mei 2025 ikionyesha mwonekano wa Mapango ya Qinglong yaliyojengwa juu ya miteremko mikali ya miamba katika mji wa kale wa Zhenyuan wa Eneo linalojiendesha la Makabila ya Wamiao na Wadong la Qiandongnan, Mkoa wa Guizhou, kusini magharibi mwa China.

Mapango ya Qinglong yenye majengo ya usanifu mgumu yalijengwa kwenye miteremko mikali ya miamba ya urefu wa mita 300 na mita 80 juu, ni mfano wa mafungamano ya mitindo ya majengo ya kaskazini na kusini mwa China. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha