Tamasha la tisa la kimataifa la Urithi wa Kiutamaduni usioshikika laanza mjini Chengdu, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 29, 2025
Tamasha la tisa la kimataifa la Urithi wa Kiutamaduni usioshikika laanza mjini Chengdu, China
Watembeleaji wakitembelea Tamasha la 9 la kimataifa la Urithi wa Kiutamaduni usioshikika linalofanyika Chengdu, Mkoani Sichuan, Kusini Magharibi mwa China, Mei 28, 2025. (Xinhua/Xu Bingjie)

Tamasha la 9 la kimataifa la Urithi wa Kiutamaduni usioshikika limeanza rasmi mjini Chengdu, Mkoani Sichuan, Kusini Magharibi mwa China jana Jumatano na limepangwa kufanyika hadi Juni 3. Katika tamasha hilo zaidi ya vitu 600 vya urithi wa kiutamaduni usioshikika kutoka nchi na maeneo zaidi ya 60 vitaoneshwa.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha