Mashindano ya Kimataifa ya Ustadi wa Roboti yenye Umbo la Binadamu yafanyika mjini Shanghai, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 30, 2025
Mashindano ya Kimataifa ya Ustadi wa Roboti yenye Umbo la Binadamu yafanyika mjini Shanghai, China
Roboti ikishiriki katika shindano la kusafirisha sanduku kwenye Mashindano ya Kimataifa ya Ustadi wa Roboti yenye Umbo la Binadamu 2025 yaliyofanyika katika Ukumbi wa Sayansi wa Zhangjiang mjini Shanghai, mashariki mwa China, Mei 29, 2025. (Xinhua/Fang Zhe)

Mashindano ya Kimataifa ya Ustadi wa Roboti yenye Umbo la Binadamu 2025 yamefunguliwa mjini Shanghai, mashariki mwa China jana Alhamisi, yakizingatia katika matumizi ya mazingira ya kiviwanda, shughuli za nyumbani na biashara. Timu zaidi ya 60 za kimataifa zimeshindana katika utumizi wa roboti na uvumbuzi wa teknolojia ya kiini. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha