Kanivali ya roboti ya Dunia yaanza mjini Wuhan, Mkoa wa Hubei, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 03, 2025
Kanivali ya roboti ya Dunia yaanza mjini Wuhan, Mkoa wa Hubei, China
Watembeleaji wakiwasiliana na roboti kwenye kanivali ya roboti ya dunia mjini Wuhan, Mkoa wa Hubei, katikati mwa China, Juni 2, 2025. (Xinhua/Du Zixuan)

Kanivali ya roboti ya Dunia imeanza mjini Wuhan, Mkoa wa Hubei, katikati mwa China, jana Jumatatu, Juni 2, 2025, ikishirikisha roboti karibu 100 zikiwemo roboti-pendwa za kuhudumia na kuishi na binadamu, roboti za kupodoa watu, roboti za bendi, na nyinginezo. Mbali na kuonesha roboti hizo, watu wanaotembelea kanivali hiyo huchangamana na kuwasiliana na roboti hizo ili kujaribu na kujionea mvuto wa teknolojia.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha