Migodi iliyotelekezwa yageuzwa kuwa vivutio vya kitalii katika Mkoa wa Shandong, China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 06, 2025
Migodi iliyotelekezwa yageuzwa kuwa vivutio vya kitalii katika Mkoa wa Shandong, China
Picha ikionyesha mwonekano wa kituo cha mapumziko cha Mlima Qinglong katika Mji mdogo wa Hetaoyuan wa Wilaya ya Juye, Mkoa wa Shandong, mashariki mwa China, Juni 4, 2025. (Xinhua/Guo Xulei)

JINAN - Mwaka 2015, mamlaka za serikali ya Wilaya ya Juye katika Mkoa wa Shandong, mashariki mwa China zilianzisha juhudi za kufunga migodi na kukarabati maeneo ya uchimbaji madini yaliyotelekezwa.

Katika miaka mingi iliyopita, kutokana na juhudi za kupanda miti tangu wakati huo imebadilisha ssehemu hiyo iliyokuwa imetelekezwa na yenye miteremko kuwa mifumo ya ikolojia inayostawi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha