Mtihani wa Taifa wa China wa wanafunzi kujiunga na chuo wamalizika katika baadhi ya mikoa (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 10, 2025
Mtihani wa Taifa wa China wa wanafunzi kujiunga na chuo wamalizika katika baadhi ya mikoa
Wanafunzi wakiwa wamepanda basi kuondoka baada ya mtihani kwenye eneo la kufanyia mtihani wa taifa wa China wa wanafunzi kujiunga na chuo mjini Lhasa, Mkoa wa unaojiendesha wa Xizang, kusini-magharibi mwa China, Juni 9, 2025. (Xinhua/Tenzin Nyida)

Mtihani wa Taifa wa China wa wanafunzi kujiunga na chuo, ambao pia unaojulikana kwa jina la gaokao, ulianza Juni 7 mwaka huu. Mtihani huo ambao unaelezwa kuwa miongoni mwa mitihani migumu zaidi duniani na wenye kufanywa na watu wengi kwa wakati mmoja katika baadhi ya mikoa umemalizika jana Jumatatu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha