Mtihani wa Taifa wa China wa wanafunzi kujiunga na chuo wamalizika katika baadhi ya mikoa (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 10, 2025
Mtihani wa Taifa wa China wa wanafunzi kujiunga na chuo wamalizika katika baadhi ya mikoa
Mzazi (wa kwanza, kulia) akimpokea binti yake baada ya mtihani kwenye eneo la kufanyia mtihani wa taifa wa China wa wanafunzi kujiunga na chuo mjini Changsha, Mkoa wa Hunan, katikati mwa China, Juni 9, 2025. (Xinhua/Chen Sihan)

Mtihani wa Taifa wa China wa wanafunzi kujiunga na chuo, ambao pia unaojulikana kwa jina la gaokao, ulianza Juni 7 mwaka huu. Mtihani huo ambao unaelezwa kuwa miongoni mwa mitihani migumu zaidi duniani na wenye kufanywa na watu wengi kwa wakati mmoja katika baadhi ya mikoa umemalizika jana Jumatatu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha