

Lugha Nyingine
Mradi mpya wa umeme wa nguvu ya juu waanza kusambaza umeme kutoka Xinjiang hadi Chongqing, China (3)
HAMI - Kampuni ya Gridi ya Kitaifa ya China imetangaza jana Jumanne kuanza kufanya kazi kwa mradi wa usambazaji umeme wa nguvu ya juu ya ±800 kV kwa mkondo wa moja kwa moja unaounganisha mji wa Hami wa mashariki mwa Mkoa wa Xinjiang na Mji wa Chongqing, kusini magharibi mwa China.
Hii inamaanisha kuwa mradi mkubwa wa tatu wa China kusambaza umeme kutoka mkoa wenye utajiri wa nishati wa Xinjiang hadi maeneo mengine ya nchini China.
Wajenzi waendelea kujenga daraja refu zaidi duniani katika Mkoa wa Guizhou wa China
Majira ya kuvuna mazao ya mpunga yawadia katika Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China
Migodi iliyotelekezwa yageuzwa kuwa vivutio vya kitalii katika Mkoa wa Shandong, China
LEGOLAND Shanghai Resort kuanza shughuli za majaribio kabla ya kufunguliwa Julai
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma