Mradi mpya wa umeme wa nguvu ya juu waanza kusambaza umeme kutoka Xinjiang hadi Chongqing, China (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 11, 2025
Mradi mpya wa umeme wa nguvu ya juu waanza kusambaza umeme kutoka Xinjiang hadi Chongqing, China
Picha hii ikionyesha mwonekano wa mradi wa usambazaji umeme wa nguvu ya juu ya ±800 kV kwa mkondo wa moja kwa moja wa Hami-Chongqing, katika Mji wa Wuwei, Mkoa wa Gansu, kaskazini-magharibi mwa China, Mei 29, 2025. (Xinhua/Huang Wei)

HAMI - Kampuni ya Gridi ya Kitaifa ya China imetangaza jana Jumanne kuanza kufanya kazi kwa mradi wa usambazaji umeme wa nguvu ya juu ya ±800 kV kwa mkondo wa moja kwa moja unaounganisha mji wa Hami wa mashariki mwa Mkoa wa Xinjiang na Mji wa Chongqing, kusini magharibi mwa China.

Hii inamaanisha kuwa mradi mkubwa wa tatu wa China kusambaza umeme kutoka mkoa wenye utajiri wa nishati wa Xinjiang hadi maeneo mengine ya nchini China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha