Maonyesho ya 4 ya Uchumi na Biashara kati ya China na Afrika yafunguliwa Changsha (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 13, 2025
Maonyesho ya 4 ya Uchumi na Biashara kati ya China na Afrika yafunguliwa Changsha
Picha hii iliyopigwa Juni 12, 2025 ikionyesha wageni wakishiriki kwenye hafla ya kufunguliwa kwa Maonyesho ya nne ya Uchumi na Biashara ya China na Afrika mjini Changsha, Mkoa wa Hunan, katikati mwa China. (Xinhua/Chen Sihan)

CHANGSHA - Maonyesho ya nne ya Uchumi na Biashara kati ya China na Afrika yamefunguliwa jana Alhamisi katika mji wa Changsha mkoani Hunan katikati mwa China, ambapo kampuni karibu 4,700 za China na Afrika vilevile washiriki zaidi ya 30,000 wameshiriki kwenye maonyesho hayo ya siku nne, yenye kaulimbiu ya "China na Afrika: Kuelekea Pamoja Mambo ya Kisasa."

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha