

Lugha Nyingine
Maonyesho ya 4 ya Uchumi na Biashara kati ya China na Afrika yafunguliwa Changsha (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 13, 2025
![]() |
Watu wakitembmelea banda la Afrika kwenye Kituo cha Mikutano na Maonyesho ya Kimataifa cha Changsha mkoani Hunan, katikati mwa China, Juni 12, 2025. (Xinhua/Wang Jingqiang) |
CHANGSHA - Maonyesho ya nne ya Uchumi na Biashara kati ya China na Afrika yamefunguliwa jana Alhamisi katika mji wa Changsha mkoani Hunan katikati mwa China, ambapo kampuni karibu 4,700 za China na Afrika vilevile washiriki zaidi ya 30,000 wameshiriki kwenye maonyesho hayo ya siku nne, yenye kaulimbiu ya "China na Afrika: Kuelekea Pamoja Mambo ya Kisasa."
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)
Wajenzi waendelea kujenga daraja refu zaidi duniani katika Mkoa wa Guizhou wa China
Majira ya kuvuna mazao ya mpunga yawadia katika Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China
Migodi iliyotelekezwa yageuzwa kuwa vivutio vya kitalii katika Mkoa wa Shandong, China
LEGOLAND Shanghai Resort kuanza shughuli za majaribio kabla ya kufunguliwa Julai
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma