Maonyesho ya 4 ya Uchumi na Biashara kati ya China na Afrika yafunguliwa Changsha (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 13, 2025
Maonyesho ya 4 ya Uchumi na Biashara kati ya China na Afrika yafunguliwa Changsha
Mwonyeshaji bidhaa akielezea bidhaa za kutunza mwili kutoka Afrika kwenye Kituo cha Mikutano na Maonyesho ya Kimataifa cha Changsha mjini Changsha mkoani Hunan, katikati mwa China, Juni 12, 2025. (Xinhua/Liu Qiong)

CHANGSHA - Maonyesho ya nne ya Uchumi na Biashara kati ya China na Afrika yamefunguliwa jana Alhamisi katika mji wa Changsha mkoani Hunan katikati mwa China, ambapo kampuni karibu 4,700 za China na Afrika vilevile washiriki zaidi ya 30,000 wameshiriki kwenye maonyesho hayo ya siku nne, yenye kaulimbiu ya "China na Afrika: Kuelekea Pamoja Mambo ya Kisasa."

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha