

Lugha Nyingine
Maonyesho ya Raslimali za Mawe ya Kimataifa ya Kunming China 2025 yafunguliwa (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 11, 2025
![]() |
Mteja (wa pili, kushoto) akichagua bangili za jade kwenye Maonyesho ya Raslimali za Mawe ya Kimataifa ya Kunming China 2025 katika Mkoa wa Yunnan, kusini-magharibi mwa China, Julai 10, 2025. (Xinhua/Chen Xinbo) |
Maonyesho ya Raslimali za Mawe ya Kimataifa ya Kunming China 2025 yamefunguliwa huko Kunming, mji mkuu wa Mkoa wa Yunnan, kusini-magharibi mwa China jana Alhamisi. Maonyesho hayo ya siku 5 yanachukua eneo lenye ukubwa wa mita za mraba takriban 50,000, yakikusanya jumuiya za wafanyabiashara na vikundi vya maonyesho zaidi ya 100 kutoka ndani na nje ya China.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma