

Lugha Nyingine
Ustawi wa uchumi wa baharini wa China wachochea ongezeko tulivu na endelevu la maendeleo ya biashara duniani (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 14, 2025
![]() |
Picha hii iliyopigwa tarehe 13 Julai 2025 ikionyesha mwonekano wa Bandari ya Yangzhou katika Mkoa wa Jiangsu, mashariki mwa China. (Picha na Ren Fei/Xinhua) |
Jukwaa la Siku ya Usafiri Baharini ya China Mwaka 2025 lililofanyika Ijumaa katika mji wa pwani wa Boao, Mkoa wa Hainan, kusini mwa China limesema, tasnia ya baharini ya China hivi sasa inashughulikia karibu theluthi moja ya kiasi cha uchukuzi wa mizigo na usafirishaji wa shehena duniani. Ustawi wa hali motomoto wa uchumi wa baharini wa China umekuwa ukihimiza ongezeko tulivu na endelevu la biashara na maendeleo duniani.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma