Ustawi wa uchumi wa baharini wa China wachochea ongezeko tulivu na endelevu la maendeleo ya biashara duniani (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 14, 2025
Ustawi wa uchumi wa baharini wa China wachochea ongezeko tulivu na endelevu la maendeleo ya biashara duniani
Picha hii iliyopigwa tarehe 13 Julai 2025 ikionyesha magari yakingoja kusafirishwa nje kwenye bandari moja ya Mji wa Lianyungang, Mkoa wa Jiangsu, mashariki mwa China. (Picha na Wang Chun/Xinhua)

Jukwaa la Siku ya Usafiri Baharini ya China Mwaka 2025 lililofanyika Ijumaa katika mji wa pwani wa Boao, Mkoa wa Hainan, kusini mwa China limesema, tasnia ya baharini ya China hivi sasa inashughulikia karibu theluthi moja ya kiasi cha uchukuzi wa mizigo na usafirishaji wa shehena duniani. Ustawi wa hali motomoto wa uchumi wa baharini wa China umekuwa ukihimiza ongezeko tulivu na endelevu la biashara na maendeleo duniani.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha