Maandalizi ya Maonyesho ya tatu ya China ya Minyororo ya Utoaji Bidhaa ya Kimataifa yakamilika (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 15, 2025
Maandalizi ya Maonyesho ya tatu ya China ya Minyororo ya Utoaji Bidhaa ya Kimataifa yakamilika
Mfanyakazi akifanya kazi kwenye banda la Nvidia katika sehemu ya maonesho ya teknolojia ya kidijitali kwenye Maonyesho ya tatu yajayo ya China ya Minyororo ya Utoaji Bidhaa ya Kimataifa mjini Beijing, Julai 14, 2025. (Xinhua/Ju Huanzong)

Maandalizi ya Maonyesho ya tatu ya China ya Minyororo ya Utoaji Bidhaa ya Kimataifa yanayotazamiwa kufanyika Beijing Julai 16-20 yamekamilika. Maonyesho hayo yataonesha minyororo zaidi ya utoaji bidhaa za utengenezaji wa teknolojia ya hali ya juu, nishati safi, magari ya kisasa, teknolojia ya kidijitali, bidhaa zinazohusu maisha yenye afya na mazao ya kilimo cha kijani.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha