

Lugha Nyingine
Maandalizi ya Maonyesho ya tatu ya China ya Minyororo ya Utoaji Bidhaa ya Kimataifa yakamilika (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 15, 2025
![]() |
Picha hii iliyopigwa tarehe 14 Julai 2025 ikionyesha mwonekano wa nje wa ukumbi wa Maonyesho ya tatu yajayo ya China ya Minyororo ya Utoaji Bidhaa ya Kimataifa mjini Beijing. (Xinhua/Ju Huanzong) |
Maandalizi ya Maonyesho ya tatu ya China ya Minyororo ya Utoaji Bidhaa ya Kimataifa yanayotazamiwa kufanyika Beijing Julai 16-20 yamekamilika. Maonyesho hayo yataonesha minyororo zaidi ya utoaji bidhaa za utengenezaji wa teknolojia ya hali ya juu, nishati safi, magari ya kisasa, teknolojia ya kidijitali, bidhaa zinazohusu maisha yenye afya na mazao ya kilimo cha kijani.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma