

Lugha Nyingine
Tamasha la Kwaya la Vijana wa China na Marekani Mwaka 2025 laendelea kufanyika Beijing na Fuzhou (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 15, 2025
![]() |
Wanakwaya kutoka China na Marekani wakitazama mazoezi ya okestra Beijing, mji mkuu wa China, Julai 14, 2025. (Xinhua/Jin Liwang) |
Shughuli ya "Uhusiano na Kuliang: Tamasha la Kwaya la Vijana wa China na Marekani Mwaka 2025", yenye kaulimbiu ya "Kuimba kwa Amani", inaendelea kufanyika katika miji ya Beijing na Fuzhou nchini China kuanzia Julai 9 hadi 18. Zaidi ya washiriki elfu moja kutoka karibu makundi ya kwaya 30 ya vijana kutoka China na Marekani wanashiriki katika tamasha hilo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma