Tamasha la Kwaya la Vijana wa China na Marekani Mwaka 2025 laendelea kufanyika Beijing na Fuzhou (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 15, 2025
Tamasha la Kwaya la Vijana wa China na Marekani Mwaka 2025 laendelea kufanyika Beijing na Fuzhou
Kundi la Kwaya la China likiimba nyimbo kwenye tamasha mjini Beijing, Julai 14, 2025. (Xinhua/Lu Ye)

Shughuli ya "Uhusiano na Kuliang: Tamasha la Kwaya la Vijana wa China na Marekani Mwaka 2025", yenye kaulimbiu ya "Kuimba kwa Amani", inaendelea kufanyika katika miji ya Beijing na Fuzhou nchini China kuanzia Julai 9 hadi 18. Zaidi ya washiriki elfu moja kutoka karibu makundi ya kwaya 30 ya vijana kutoka China na Marekani wanashiriki katika tamasha hilo. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha