Kikosi cha 11 cha Askari Polisi wa Kulinda Amani wa China chafunga safari ya kwenda Sudan Kusini kutekeleza jukumu la UN (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 06, 2025
Kikosi cha 11 cha Askari Polisi wa Kulinda Amani wa China chafunga safari ya kwenda Sudan Kusini kutekeleza jukumu la UN
Tarehe 5, Agosti, Kikosi cha 11 cha askari polisi wa kulinda amani wa China kinachokwenda kwenye eneo la nchini Sudan Kusini kutekeleza jukumu la Umoja wa Mataifa wakipiga picha pamoja baada ya hafla ya kufunga safari. (Yin Gang/Xinhua)

Tarehe 5, Agosti, katika Kituo cha Mafunzo ya Askari Polisi wa Kulinda Amani cha Chuo Kikuu cha Askari Polisi cha China, ilifanyika hafla ya kufunga safari kwa kikosi cha 11 cha askari polisi wa kulinda amani wa China kwenda eneo la nchini Sudan Kusini kutekeleza jukumu la Umoja wa Mataifa. Asubuhi mapema ya tarehe 6, askari polisi 17 wa kulinda amani wa China watapanda ndege ya kwenda Sudan Kusini kutekeleza jukumu lao la kulinda amani.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha