Furahia Ligi ya Soka ya Miji ya Jiangsu mjini Xuzhou

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 07, 2025
Furahia Ligi ya Soka ya Miji ya Jiangsu mjini Xuzhou
Wakazi wakitazama michezo ya Ligi ya Soka ya Miji ya Jiangsu mbele ya skrini kubwa mjini humo . (Zhong Wenxing/People’s Daily Online)

Usiku wa tarehe 2, Agosti, michezo ya raundi ya nane ya Ligi ya Soka ya Miji ya Mkoa wa Jiangsu 2025 (“Suchao”) ilifanyika kwenye Kituo cha Olimpiki cha Mji wa Xuzhou, mkoani Jiangsu China.

Michezo hiyo ilivutia washabiki zaidi ya 30,000 kwenda kwenye uwanja wake kutazama, huku kukiwa na washabiki wengi waliofika huko kutoka miji mingine, ambao walitazama mashindano ya michezo, baadaye wakifurahia pia utamaduni wa mji huo, kuonja vyakula vitamu vya aina mbalimbali na kutembelea kwenye sehemu zenye vivutio za mji huo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha