Mkoa wa Guizhou kusini magharibi mwa China waendeleza nishati safi kwenye kituo kikubwa (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 07, 2025
Mkoa wa Guizhou kusini magharibi mwa China waendeleza nishati safi kwenye kituo kikubwa
Picha hii ya kumbukumbu iliyopigwa tarehe 13 Julai 2023 inaonyesha kundi la kondoo kwenye mlingaoti wa kuzalisha umeme kwa nishati ya upepo katika wilaya inayojiendesha ya makabila ya wayi-wahui-wamiao ya Weining, Mkoani Guizhou, China. (Xinhua/Tao Liang)

Katika miaka ya hivi karibuni, Mkoa wa Guizhou umekuwa unaharakisha kwenye ujenzi wa kituo cha nishati za jumla za aina mpya na kuchukua hatua zilizopangwa vizuri ili kujenga vitengo vya mashine za aina mpya za uzalishaji wa nishati kwa kutumia makaa ya mawe, kuendeleza viwanda vya uzalishaji wa nishati ya upepo, nishati ya jua na viwanda vingine vya nishati.

Takwimu zilizotolewa na Idara ya usimamizi wa nishati ya Guizhou zimeonesha kuwa, hadi kufikia mwishoni mwa mwezi Juni 2025, jumla ya uwezo wa uzalishaji wa nishati wa Guizhou ulikuwa ni zaidi ya kilowati milioni 100, ambapo nishati safi ilichangia zaidi ya asilimia 60.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Renato Lu)

Picha