Sherehe za ufunguzi wa Michezo ya Dunia 2025 mjini Chengdu (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 08, 2025
Sherehe za ufunguzi wa Michezo ya Dunia 2025 mjini Chengdu
Ujumbe wa China ukipita wakati wa gwaride la sherehe za ufunguzi wa Michezo ya Dunia ya 2025 mjini Chengdu, kusini-magharibi mwa Mkoa wa Sichuan China, Agosti 7, 2025. (Xinhua/Chen Bin)

Sherehe za ufunguzi wa Michezo ya Dunia 2025 zilifanyika usiku wa jana Jumatano mjini Chengdu, Mkoa wa Sichuan wa China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha