Tamasha la usiku lafanyika mjini Lhasa kuadhimisha miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Mkoa unaojiendesha wa Xizang

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 21, 2025
Tamasha la usiku lafanyika mjini Lhasa kuadhimisha miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Mkoa unaojiendesha wa Xizang
Tamasha la usiku la “Nyimbo za furaha kwenye Uwanda wa Juu wenye Theluji” limefanyika mjini Lhasa, kuadhimisha miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Mkoa unaojiendesha wa Xizang, Agosti 20, 2025. (Xinhua/Li Xiang)
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha