

Lugha Nyingine
Watu wakausha nafaka kwenye eneo la jengo la serikali kusini magharibi mwa China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 21, 2025
![]() |
Picha iliyopigwa kwa droni Agosti 20, 2025 inaonyesha watu wakikausha nafaka mbele ya jengo la serikali la eneo la Yongchuan, mjini Chongqing, China. (Xinhua/Huang Wei) |
Msimu wa kuvuna mpunga katika eneo la Yongchuan umeanza. Serikali ya huko imetenga maeneo ya umma kama vile maeneo ya wazi kwenye majengo ya serikali, na viwanja vya mambo ya utamaduni kwa ajili ya wakulima kukausha nafaka.
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma