Teknolojia ya vyombo visivyoendeshwa na binadamu yaonekana katika Mkutano wa Viwanda Duniani 2025 mjini Hefei, China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 23, 2025
Teknolojia ya vyombo visivyoendeshwa na binadamu yaonekana katika Mkutano wa Viwanda Duniani 2025 mjini Hefei, China
Mtembeleaji maonyesho akifahamishwa kuhusu pikipiki ya kuruka angani inayojiendesha bila dereva kwenye Mkutano wa Viwanda Duniani 2025 mjini Hefei, Mkoa wa Anhui, mashariki mwa China, Septemba 21, 2025. (Xinhua/Huang Bohan)

Mkutano wa Viwanda Duniani 2025 unaoendelea mjini Hefei, Mkoa wa Anhui, mashariki mwa China unaonyesha matumizi mbalimbali ya teknolojia ya vyombo vinavyojiendesha bila binadamu. Katika mkutano huo, maonyesho ya mifumo ya vyombo vinavyojiendesha bila binadamu kwenye mazingira mbalimbali, yamekuwa kivutio kikubwa kwa watembeleaji.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha