

Lugha Nyingine
Teknolojia ya vyombo visivyoendeshwa na binadamu yaonekana katika Mkutano wa Viwanda Duniani 2025 mjini Hefei, China (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 23, 2025
![]() |
Watembeleaji maonyesho wakijaribu basi linalotumia umeme la utalii wa kutazama mandhari kwenye Mkutano wa Viwanda Duniani 2025 mjini Hefei, Mkoa wa Anhui, mashariki mwa China, Septemba 21, 2025. (Xinhua/Huang Bohan) |
Mkutano wa Viwanda Duniani 2025 unaoendelea mjini Hefei, Mkoa wa Anhui, mashariki mwa China unaonyesha matumizi mbalimbali ya teknolojia ya vyombo vinavyojiendesha bila binadamu. Katika mkutano huo, maonyesho ya mifumo ya vyombo vinavyojiendesha bila binadamu kwenye mazingira mbalimbali, yamekuwa kivutio kikubwa kwa watembeleaji.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma