Treni ya kwanza ya msimu huu yenye mada ya utamaduni wa Kaskazini-Mashariki mwa China yaanza kuendeshwa katika mkoa wa Heilongjiang (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 25, 2025
Treni ya kwanza ya msimu huu yenye mada ya utamaduni wa Kaskazini-Mashariki mwa China yaanza kuendeshwa katika mkoa wa Heilongjiang
Picha hii iliyopigwa Desemba 22, 2025 inaonyesha behewa la kulala la Treni ya K7041 kwenye Kituo cha Reli cha Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, Kaskazini-Mashariki mwa China. (Xinhua/Wang Song)

Treni ya K7041, ambayo ni treni ya kwanza ya mwaka huu yenye mada ya utamaduni, mila na desturi za kaskazini-mashariki mwa China, iliondoka kutoka Kituo cha Reli cha Harbin na kuelekea Mji wa Mohe siku ya Jumatatu.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha