Lugha Nyingine
Treni ya kwanza ya msimu huu yenye mada ya utamaduni wa Kaskazini-Mashariki mwa China yaanza kuendeshwa katika mkoa wa Heilongjiang
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 25, 2025
![]() |
| Wachezaji wa dansi wanafanya maonyesho ya utamaduni kwa abiria kwenye jukwaa la Kituo cha Reli cha Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, Kaskazini-Mashariki mwa China, Desemba 22, 2025. |
Treni ya K7041, ambayo ni treni ya kwanza ya mwaka huu yenye mada ya utamaduni, mila na desturi za kaskazini-mashariki mwa China, iliondoka kutoka Kituo cha Reli cha Harbin na kuelekea Mji wa Mohe siku ya Jumatatu.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




