Treni ya kwanza ya msimu huu yenye mada ya utamaduni wa Kaskazini-Mashariki mwa China yaanza kuendeshwa katika mkoa wa Heilongjiang (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 25, 2025
Treni ya kwanza ya msimu huu yenye mada ya utamaduni wa Kaskazini-Mashariki mwa China yaanza kuendeshwa katika mkoa wa Heilongjiang
Abiria mmoja akionekana ndani ya Treni ya K7041 kwenye Kituo cha Reli cha Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, Kaskazini-Mashariki mwa China, Desemba 22, 2025. (Xinhua/Wang Song)

Treni ya K7041, ambayo ni treni ya kwanza ya mwaka huu yenye mada ya utamaduni, mila na desturi za kaskazini-mashariki mwa China, iliondoka kutoka Kituo cha Reli cha Harbin na kuelekea Mji wa Mohe siku ya Jumatatu.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha