Peninsula ya Shandong, China yajenga kundi la viwanda vya teknolojia ya hali ya juu kusaidia uchumi wa baharini (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 29, 2025
Peninsula ya Shandong, China yajenga kundi la viwanda vya teknolojia ya hali ya juu kusaidia uchumi wa baharini
Picha iliyopigwa Desemba 24, 2025 ikionyesha Kampuni ya Uundaji wa Meli ya Beihai ya Qingdao ya Kundi la Viwanda vya Uundaji wa Meli la China ikifanya kazi ya uundaji wa meli kwenye Kituo cha Viwanda vya Uundaji wa Meli na Uhandisi wa Baharini cha Ghuba ya Haixi ya Qingdao, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China. (Xinhua/Guo Xulei)

Katika miaka ya hivi karibuni, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China umefanya juhudi zaidi za kujenga kundi la viwanda vya teknolojia ya hali ya juu vinavyohusisha uundaji wa meli na zana za uhandisi wa baharini kwenye Peninsula ya Shandong, ukifuata njia ya maendeleo yenye sifa bora yanayotegemea msukumo wa uchumi wa baharini.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha