Peninsula ya Shandong, China yajenga kundi la viwanda vya teknolojia ya hali ya juu kusaidia uchumi wa baharini (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 29, 2025
Peninsula ya Shandong, China yajenga kundi la viwanda vya teknolojia ya hali ya juu kusaidia uchumi wa baharini
Picha iliyopigwa Novemba 15, 2025 ikionyesha ukamilishaji wa meli ya kazi ya uvuvi na ufugaji wa samaki kwa teknolojia ya kisasa baharini yenye uzito wa tani 150,000 kwenye Kituo cha Viwanda vya Uundaji wa Meli na Uhandisi wa Baharini cha Ghuba ya Haixi ya Qingdao, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China. (Picha na Zhang Jingang/Xinhua)

Katika miaka ya hivi karibuni, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China umefanya juhudi zaidi za kujenga kundi la viwanda vya teknolojia ya hali ya juu vinavyohusisha uundaji wa meli na zana za uhandisi wa baharini kwenye Peninsula ya Shandong, ukifuata njia ya maendeleo yenye sifa bora yanayotegemea msukumo wa uchumi wa baharini.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha